OLIVIA AFUNGUKA JUU YA MAISHA YAKE
Nyota wa zamani wa kundi la G-Unit, Olivia ameeleza kupanda na kushuka kwa maisha yake katika kipindi kipya cha televisheni cha Love & Hip Hop
Olivia amesema kipindi hiko ambacho kinaonyesha maisha yake halisi kinampa hofu hata yeye kwa sababu walimrekodi mambo mengi na hajui ni kipi wataonyesha na kipi hawataonyesha