CHRIS BROWN KUWA MUME MWEMA
Baada ya kuwa na malumbana kila wakati hatimaye Chris Brown amefikia hatua ya kuzungumza wazi wazi kuhusu mahusiano yake na Rihanna jambo ambalo limedhihirisha kukuwa kiakili
Kupitia mahojiano katika kipindi cha On Air cha mtangazaji Ryan Seacrest nyota huyo alifunguka kuhusu mabadiliko yake kitabia kuwa mkali wakati mwingine na kukomaa akili kama mwanaume hivi sasa
Kuhusu hofu kuwa Rihanna kamwe hasingemsamehe Chris Brown alisema kuwa alijaribu kila awezalo kuwa mwanaume bora kuliko wakati wowote na kumuonyesha kwamba najutia anachokifanya na kwamba kipindi kile kilikuwa ni kipindi kibaya zaidi katika maisha yake na kuamini kuwa Rihanna ni mtu muelewa