JE HALLE BERRY NI MJAMZITO ?
Halle Berry anafahamika kwa kuwa na mwili mzuri wa kuvalia 'chupi' aina ya bikini lakini mara hii mwili wak unaonekana kujaa zaidi
Nyota huyo ambaye kwa kawaida hana aibu kuuanika mwili wake awapo ufukweni hali imekuwa tofauti kwa kipindi hiki ambapo alionekana maeneo ya ufukweni huku akihakikisha mwili wake hauonekani kama pale awali alivyozoeleka
Akiwa pamoja na binti yake na mchumba wake ambaye pia ni mshindi wa tuzo za Oscar alionekana akiwa akijibanza muda wote pale alipokuwa amekaa