Google PlusRSS FeedEmail

LAMBERT AJIVUNIA NDOA YAKE


Muimbaji Miranda Lambert amesema kuwa anajivunia ndoa yake aliyofunga na mwanamuziki mwenzake Blake Shelton, mwanamuziki huyo mwenye kibao cha 'The Over You' aliweka bayana kuwa hawana wanachofichana katika ndoa yao

Lambert aliliambia jarida ka US Weekly pia kila mmoja ana,ruhusu mwenzake kupekua simu ya mwenzake na kila na kila mmoja anamfahamu mwenzake

Alisema kuwa kwa jinsi wanavyoishi hakuna anayemtilia shaka mwenzake na ndio maana kila mtu anamruhusu mwenzake kuingia kjatika mtandao wake wa kijamii

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging