Google PlusRSS FeedEmail

MADONNA KUTOINGIA RUSSIA?


Mwanamuziki mkongwe nchini Marekani Madonna huenda akapigwa 'stop' kuingia nchini Russia, hatua hiyo ambayo huenda ikachukuliwa baada ya muimbaji huyo mwaka jana kufanya maonyesho mawili katika mji wa Moscow na St Petersburg, lakini baadaye maofisa wa serikali wakasema kuwa hakuwa na kibali cha kufanya kazi nchini humo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging