Google PlusRSS FeedEmail

REID ANASA KWA NIKKI



Muigizaji nyota nchini Uingereza Alex Reid amethibitisha kuwa na mahusiano na rafiki yake wa kike Nikki
Baba huyo mwenye umri wa miaka 37 alitengana na Chantelle Septemba mwaka jana wakiwa na mtoto wa miaka 10

Hata hivyo Nikki juzi aliandika katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter ikiwa ni mara ya kwanza kuthibitisha uhusiano huo akisema kuwa kwa sasa mashabiki wake wangoje kumuona akiwa na uhusiano mpya

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging