Google PlusRSS FeedEmail

GOODY KUFILISIWA



Mali za aliyekuwa muandaaji na mtangazaji vipindi vya televisheni nchini Uingereza, Jade Goody zinakaribia kupigwa mnada baada ya kodi ya eneo zilizopo kufikia pauni milioni moja

Hatua hiyo imefikiwa baada ya maofisa wa wakala wa kukusanya kodi ya majengo nchini humo HMRC kupandisha bili za nyumba ya mshiriki huyo wa shindano la Big Brother kutoka pauni 6,000 hadi 1,035,902 zilizokuwa zikilipwa mwezi uliopita na hivyo kuwaacha wanaye wawili wakiwa hawana kitu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging