Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA ANASWA UTUPU





Mwanamuziki nyota Rihanna amebambwa na mapaparazi akiwa nusu utupu nyuma ya jukwaa wakati akijipodoa kwa ajili ya onesho lake la ziara aliyoipa jina la 'Diamond World Tour' Vyanzo vya habari vilieleza kuwa kinara huyo alibambwa mwishoni mwa wiki akiwa amevaa chupi ya kijani huku akiwa amefunika matiti yake kwa taulo wakati akijipodoa nywele zake kabla ya onyesho hilo lililofanyika mjini Atlanta

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging