Google PlusRSS FeedEmail

COSSY AZINGUA



Mkali wa filamu za Kinigeria ambaye pia anafanya vizuri katika muziki Cossy Orjiakor ameshangaza mashabiki wake hasa wanaume kutokana na kutoa video ya wimbo akiwa katika mazingira tata

Pamoja na kuwepo kwa ukweli huo nyota huyo amekua akijitetea mara kadhaa kwamba video hiyo mpya haina matatizo ila baadhi ya watu wamekuwa wakivumisha juu ya kazi yake hiyo ingawa suala la hisia zake kwenye mapenzi zimetawala katika kazi hiyo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging