Google PlusRSS FeedEmail

SANDRA AKANUSHA KUTOKA NA GAVANA



Sandra Iwu amekanusha vikali kuwa alishatoka kimapenzi na gavana mmoja wa jimbo nchini Nigeria katika kipindi cha Januari na Machi mwaka huu

"Sina mpango wa kutoa penzi kwa mtu nje ya mpenzi wangu yanasemwa maneno mengi lakini ukweli naujua mwenyewe watu waache kusema mambo wasio yajua imani yangu ni kwamba ipo siku ukweli utajulikana kutoka kwa watu wote kama kweli nilishifanya jambo hilo nisingeweza kukataa " alisema mwanadada huyo

Kwa zaidi ya miezi mitatu sasa mwanadada huyo machachari ameelezwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mmoja wa wanasiasana gavana wa jimbo moja nchini humo ambapo hata hivyo hajatajwa hadi wakati huu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging