Google PlusRSS FeedEmail

AY ADONDOSHA NGOMA MPYA

Msanii maarufu kutoka Tanzania anaefanya vizuri katika Tasnia ya muziki wa bongo Fleva Nchini na Nje ya mipaka ya Tanzania Ambwene Yessaya AY ,anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la JIPE SHAVU akiwa amemshirikisha  Fid Q   wimbo huo umetengenezwa katika studio Mpya itwayo Mpo Afrika chini ya Producer Q.AY aliskika akisema “Ijumaa ya May 3 naachia wimbo wangu mpya  nilioufanya na Fid Q baada ya kukamilika hivyo mashabiki wakae tayari kwa wimbo huo Ijumaa hii”AY anatarajia kuachia wimbo wake lakini mwezi uliopita msanii huyo alishirikiana na Mwanafalsafa MWANA FA pamoja na J Martin kutoka Nigeria na kutengeneza wimbo waliosema ungetoka mwishoni wa mwezi wa nne au mwanzoni wa mwezi huu wa tano baada ya kufanya Kichupa cha Wimbo huo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging