Google PlusRSS FeedEmail

ALIYEKUWA RAPPER KUTOKA KATIKA KUNDI LA KRIS KROSS - CHRIS KELLY AFARIKI DUNIA

                      
 Aliyekuwa Rapper wa kundi la Kriss Kross Chris Kelly Amefariki Dunia,April 1 nyumbani kwao huko Atlanta .Rapper huyo ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 34,akiwa na mwenzie walijipatia umaharufu mkubwa mwaka 1992 mara baada ya kuachia kibao matata kilichojulikana kama Jump..Mara baada ya Police kupata taharifa hiyo walifika nyumbani kwake mida ya saa 4:30pm na walimchukua hadi  Atlanta Medical Centre na mara baada ya uchunguzi imegundulika kifo chake kimesababishwa na kiasi kikubwa cha  utumiaji wa madaya ya kulevya..




This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging