Google PlusRSS FeedEmail

BEIBER ASHAMBULIWA DUBAI



Muimbaji mwenye umri mdogo ambaye amejizoelea umaarufu Justin Bieber mwishoni mwa wiki iliyopita ameshambuliwa na mashabiki wake akiwa jukwaani nchini Dubai

Mashabiki waliwazidi kunguvu wana usalamaa na kumvamia jukwaani wakati msanii huyo akiimba wimbo wake Belive

Beiber alifanikiwa kuondoka eneo hilo na kuwaacha wana usalama wakiendelea kudhibiti tukio hilo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging