Google PlusRSS FeedEmail

SABABU YA KIFUNGO CHA LAURYN CHAJULIKANA



Kutokana na kusimama kwa muda mrefu kwenye kazi ya muziki ndio imeonekana kuwa ni sababu iliyomsababisha rapa mahili Lauryn Hill kushindwa kulipa kodi aliyokuwa akidaiwa na matokeo yake amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu

Hali hiyo imejitokeza baada ya rapa huyo wakati wa kusikiliza kesi hiyo Lauryn alijitetea kuwa alipotea kwenye biashara ya muziki lakini alidhamiria kujiweka sawa

Jaji wa kesi hiyo amemhukumu Lauryn kifungo cha miezi mitatu jela,pamoja na miezi 9 chini ya ulinzi akiwa nje kwa kosa la kushindwa kulipa deni la kodi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging