Google PlusRSS FeedEmail

BISI ATAMBA NA MTOTO WAKE



Mwigizaji Bisi Ibidapo Obe amesema kuwa mtoto wake amemwondolea machungu aliyokuwa akiyapata kila alipowaona wanawake wenzake na watoto wao

Alikuwa akisubili mtoto kwa muda mrefu kiasi kwamba alianza kukata tamaa lakini anashukuru alipata mtoto wa kike Destiny mwenye afya njema

Aidha msanii huyo alifafanua kuwa akiwa mama bora atahakikisha anampa elimu bora binti yake kwa kuwa hakuna urithi mzuri na usiochuja kama elimu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging