Google PlusRSS FeedEmail

MSANII AONYESHA THAMANI YA KUTUNZA MAZINGIRA



Katika kuonyesha miti inaumuhimu kiasi gani mwigizaji Russell Crowe amepanda miti 50 kwa mikono yake bila kutumia mashine kwenye nyumba yake iliyopo Coffs Harbour Australia

Russell alisema pamoja na kuwa na mashine na vijana wa kufanya kazi hiyo aliamua kufanya mwenyewe kwa mikono yake ili awe na uchungu nayo na kuhakikisha inatunzwa na kukua vyema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging