Google PlusRSS FeedEmail

DEANNA DURBIN AFARIKI DUNIA



Mwanamuziki nyota na muigizaji wa zamani Deanna Durbin amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91, mwanamuziki huyo ambaye pia ni muigizaji aliyekuwa akilipwa fedha nyingi akiwa na umri mdogo miaka ya 1930 alifariki nchini kwao Canada

Mtoto wake wa kiume aitwaye Peter  David aliliambia gazeti la Deanna Durbin Society kwamba mama yake alifariki siku kadhaa zilizopita lakini hakutoa maelezo zaidi

Mwisho mwa miaka ya 1930, Durbin alivuma sana baada ya kutokea kwenye filamu nyingi za vichekesho jambo ambalo lilifanya atunukiwe tuzo nyingi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging