Google PlusRSS FeedEmail

GOMEZ ACHOCHEWA NA MARAFIKI KUMTOSA BIEBER



Marafiki wa muigizaji na mwanamuziki Selena Gomez wamemuomba rafiki yao kuachana na rafiki wake wa kiume Justin Bieber, uhusiano wa mapenzi yao ulivunjika tangu mwaka jana ingawa hivi karibuni alituma picha kwenye mtandao zikimuonyesha akiwa amekaa na bibier

Mmoja wa marafiki zake ambaye hakutaja jina lake aliliambia gazeti la The Sun kwamba uhusiano wao kwa sasa hauna nguvu

"Tumefanya kila liwezekanalo ili kuhakikisha wanaachana lakini hatukufanikiwa kiukweli uhusiano wao hauna nguvu ukizingatia umri wao mdogo " aliongezea rafiki huyo wa karibu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging