FAMILIA YA WILL SMITH YAJA KIVINGINE
Familia ya mastaa inayoongozwa na Will Smith imeanza kutangaza filamu yao mpya 'After Death' inayotarajia kuzinduliwa Mei 31 mwaka huu
Filamu hiyo imemuhusisha Will akiwa amecheza na mwanaye Jaden mwenye miaka 14 ambaye ndani ya filamu hiyo ameonekana kuwa msaada mkubwa kwa baba yake
Mapema wiki hii mwigizaji Will Smith na Jaden wameonekana uwanja wa ndege tayari kwa safari ya Japan ambako walikwenda kutangaza filamu hiyo
Inaitwa After Earth sio After Death