Google PlusRSS FeedEmail

RAY J - NYIMBO YANGU HAINA MAHUSIANO NA KANYE WEST



Mwiimbaji Ray J amejitetea baada ya kushtumiwa kuhusu wimbo wake mpya 'I hit it First' akidaiwa kuwa hilo ni dongo kwa rapa Kanye West .Ray J amesema wimbo huo aliutunga muda mrefu kabla hata Kanye na Kim hawajaweka wazi uhusiano wao

" Nilitunga nyimbo hiyo siku nyingi na nilipanga kuwa nitauachia kipindi hiki ni muingiliano tu wa matukio lakini sikumaanisha chochote nilipouachia" anasema Ray J

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging