Google PlusRSS FeedEmail

KIM, KANYE WEST WATAKA WATOTO WASAIDIWE



Mastaa wanaotarajia mtoto wao wa kwanza julai mwaka huu Kim Kardashian na Kanye West wamesema hawataki zawadi za mtoto badala yake watu wachangie katika hospitali ya watoto

Wapendanao hao wamewaomba wote wanaoandaa zawadi kwa ajili ya mtoto wao wasifanye hivyo na badala yake wajiandae kuchangia katika hospitali ambayo watawaelekeza hapo baadaye

Kanye alisema hospitali hiyo ina kitengo maalumu cha kuwasaidia watoto wenye matatizo hasa magonjwa hivyo wangependa badala ya kupewa zawadi michangango hiyo ielekezwe huko

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging