BUST RHYMES KUFANYA SHOO KENYA
BAADA ya miaka mingi nchini Kenya kutotembelewa na wanamuziki wakubwa, hatimaye Rapper anayebebwa na sauti ya kipekee kutoka nchini Marekani Trevor Tahiem Smith 'Bust Rhymes' anatarajia kufanya shoo ya aina yake nchini Kenya.
Rapper huyo anatarajia kufanya shoo hiyo September mwaka huu, huku akiweka historia nyingine nchini humo .
Kwa muda mrefu sasa nchini Kenya walikosa bahati ya kutembelewa na wasanii wakubwa ikiwa matembezi yao yanakuwa kwa dhumuni ya kufanya shoo sehemu hiyo.