DIAMOND AONGEZA ELIMU
Hatimaye msanii anayetamba kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya nchi, anayeongoza kwa shoo Diamond Platinum amua kujikita darasani kwa kuongeza elimu.
Kupitia ukurasa wake wa FB msanii huyo alijalibu kutupia swali kwa mashabiki wake kuwa wahisi ameenda kusomea fani gani?
Msanii huyo ambaye yupo nchini Afrika Kusini alikoenda kwa ajili ya kuongezea elimu yake, bado hajaweka wazi ni elimu gani ambayo ameenda kusomea na ni chuo gani