JAY Z' AMTIMBIA' BEYONCE JUKWAANI Posted on by Zourha Malisa Rapa wa kimataifa Jay Z adhihirisha jinsi gani anavyompenda mke wake Beyonce, baada ya kushindwa kuvumilia na kumvamia juu ya stage ya Philadelphian Alhamisi usiku na kumkumbatia