HICHI NDICHO KILICHOMPATA KANYE BAADA YA KUMSHAMBULIA PAPARAZI
Baada ya rapa nguli wa Marekani Kanye West, kumshambulia paparazi amekabiliwa na shitaka la mashambulizi.
Kanye West alimsukuma chini paparazi akiwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles baada ya kuchukizwa maswala ya mpiga picha huyo.