JLO KUFANYA KAZI NA SHILOLE?
Msanii wa muziki ambaye pia ni mcheza filamu Zena Mohamed 'Shilole' apania kufanya kazi na muimbaji wa Marekani Jennifer Lopez.
Msanii huyo ambaye alikuwa nchini Marekani kwenye tamasha la lugha ya kiswahili, alionana na Meneja wa J'Lo ambapo, Shilole alisema amepata nafasi ya kufanya kazi na msanii huyo wa Marekani na anatarajia kurudi tena nchini humo Oktoba mwaka huu kwa ajili ya kufanya shoo pia.