OMOTOLA AJIA JUU NDOA ZA WATOTO
Mwigizaji Omotola Jalade Ekiende, amekemea tabia ya maseneta wa Nigeria kufumbia macho kitendo cha wanafunzi kufungishwa ndoa.
Omotola alisema hayo alipokuwa anachangia wakati wa kupitia baadhi ya mabadiliko ya katiba yanayoendelea nchini humo.
Alisema kuwa kama wananchi wote wakiungana kukemeatatizo hili basi litakwisha kama siyo kupungua kuliko sasa ambapo viongozi wenye mamlaka ya kufanya hivyo wamekaa kimya