ANGALIA PICHA ZA MILLEN MAGESE AKIWA KATIKA POZI TOFAUTI
Angalia picha za aliyekuwa miss Tanzania 2001 Millen Magese ambaye pia ni mwanamitindo wa kimataifa akiwa na vazi la ubunifu ambapo picha hizi ameziweka katika ukurasa wake wa Instagram ikiwa kutoa fursa kwa mashabiki wake kumuangalia akiwa na vazi la ufukweni