MRISHO MPOTO, DIAMOND PLATNUM WATOA USHAWISHI KWA VIJANA KUKAMATA FURSA
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini waliudhuria semina ya Fursa ambapo hitimisho lake lilifanyika jijini Dar es Salaam, ambapo msanii Diamond, pamoja na Mrisho Mpoto walikuwa ni miongoni wa wasanii waliohudhuria semina hiyo ya fursa pamoja na kutoa ushuhuda wao jinsi walivyoweza kuzikama fursa na kufikia malengo