Msanii kizazi kipya Lady JayDee , kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter amejibu kauli ya mheshimiwa January Makamba.
Mheshimiwa January alisiifu sana show iliyofanyika weekend iliyopita siku ya Jumamosi, P Square Live in Dar kwa kusema “Mashindano ya kuleta wasanii kutoka nje ni mazuri. Lakini mashindano bora zaidi ni ya ku-promote wasanii nchini nao washabikiwe nje ya Tanzania”.