Jana tarehee 25 Novemba ndio siku ambayo ikuwa imepangwa maalumu kwa ajili ya mkesha wa kumuombea marehemu msanii Sharo Milionea, ambapo watu mbalimbali walihudhuria akiwemo rafiki yake mpendwa Kitale .
Picha hii ya chini inamuonesha mama yake mzazi Sharomilionea akiwa amesimama na rafiki yake marehemu ambaye anajulikana kwa jina la Kitale