SHAA KUFANYA USAILI Posted on by Zourha Malisa Mwanamuziki wa miondoko ya zouk aliyeibukia katika staili ya mduara Sarah Kaisi 'Shaa' ameweka wazi kuwa anatarajia kufanya usaili kwa vijana wa kucheza shoo Desemba Mosi mwaka huu.