TID KUFANYA COLLABO NA MREMBO WA ETHIOPIA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Khalid Mohamed 'Tid' amejitokeza tena katika ukurasa wake wa Instagram na kudai kuwa yupo katika harakati za kufanya collabo na mwanadada kutoka nchini Ethiopia anayejulikana kwa jina la Azeb Wendewosen