Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Tusker project fame msimu wa 6 Hisia anazidi kusonga mbele ambapo ameweza kuendelea kubaki kwenye mashindano hayo
Uganda teyari wameshapoteza matumaini ya kupata ushindi wa shindano hilo baada ya mwakilishi wake Kojjo kuyaaga mashindano hayo huku Phiona ambaye ni mwakilishi wa Rwanda kufungasha vilago vyake.