Mkurugenzi wa kampuni ya Bench Mark Production Madam Rita akimkabidhi sanduku lenye kitita cha shilingi milioni 50 mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2013 Emmanuel Msuya (katikati). Shindano hilo lililofanyika Dar es Salaam Jana, kulia ni Ofisa Mkuu wa Fedha wa kampuni ya Zanteli Alli Bakari.
Emmanuel Msuya akiwa amepiga magoti mara baada ya kutajwa kuwa mshindi wa shindano hilo ambapo aliweza kujinyakulia kitita cha fedha hizo, mshindi huyo akiwa ametokea mkoa wa Mwanza |