MUIGIZAJI wa Marekani, Paul Walker amefariki dunia kwa ajali ya gari akiwa anatokea kwenye shughuli ya kuchangia watu kupitia mfuko wa 'Reach Out World Wide' mjini Califonia.
Paul ambaye alikuwa na mwenzake aliyekuwa ambaye ndiye alikuwa dereva wa gari la kifahari aina ya Porsche Carrera GT, ambapo inadaiwa alipokuwa njiani ndipo akapoteza control ya gari na kugonga nguzo ya taa iliyokuwa pembeni mwa barabara.
Muigizaji huyo alipata umaarufu akiigiza kwenye filamu ya Fast &Furious.