SITTI MTEVU ANG'ARA TEMEKE
Sitti Mtemvu aibuka kuwa mshindi wa taji la Miss Temeke 2014 lililomalizika usiku huu kwenye ukumbi wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.Kushoto ni mshindi wa Pili (Salama Saleh),Mshindi wa tatu,Neema Mollely
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG