Google PlusRSS FeedEmail

JELA YAMFUNZA DMX

Katika ‘Interview’ yake ya kwanza tangu atoke jela september 25 mwaka huu, rapper DMX amesema anaelekea New York city kwa ajili ya kuanza kurekodi ‘mikwaju’ mfululizo.

Rapper huyo mwenye umri wa miaka 44, amekaa jela miezi miwili na nusu kwa kosa la kushindwa kufikisha maelfu ya dolla kwa ajili ya matumizi ya mtoto.

Amesema kitu kimoja ambacho akipendi kwenye maisha ya ustaa, ni kwamba hufahamu nani rafiki wa kweli kwenye maisha yako kwa sababu kila mmoja anakutazama wewe.

“Nimechukulia kama changa moto, nimepitia niliyoyapitia kwa sababu ndiyo yamepita tena, acha nikazane na muziki wangu na haya ndiyo maisha yangu” alisema DMX.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging