Mwanadada nyota wa filamu nchini Brandina Chagula Johari ambaye kwa sasa yuko katika harakati za kumnadi mgombea urais kwa Tiketi ya Ccm,amesema amejikuta akivutiwa sana na kuingia katika siasa
Amesema amepata hamasa ya kuingia katika siana na huenda uchaguzi ujao angaingia rasmi ili agombee ubunge.
alisikika akisema ''Kampeni za mwaka huu zimetufunza vutu vingi ikiwa ni pamoja na kutambua mambo mengi ambayo yako katika siasa nafikiria kugombea ubunge katika uchaguzi ujao.