Msanii wa filamu na mwimbaji wa wa muziki wa kizazi kipya Hemed Suleiman PHD,amesema hajawai kufikiria kufanya Video Nje ya Nchi,kama wafanyavyo baadhi ya wasanii hapa Nchini
Hemedi ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake ''Memories'' alisema anachofikiria ni kushirikiana na wasanii kutoka nje na si kufanya vedeo nje ya Nchi wakati hapa nchini kuna mazingira bora ya kufanyia video zake
Hemed anatarajia kuachia video yake mpya ya ''Memories''aliyoifanyia katika mazingira ya hapa nchini,chini ya usimamizi wa studio ya Downvilla Records