Mwanamitindo na msanii wa kizazi kipya nchini Jokate Mwigelo,amewaomba wasanii kutumia umaarufu wa vizuri waweze kupewa ushirikiano na kila mtu katika kazi zao
Akizungumza na Pro-24,alisema wasanii wengi wanavimba kichwa baada ya kupata umaarufu hali inayosababisha mwisho wao kuwa mbaya
Wasanii wanatakiwa kujua sio kwamba watakaa juu milele hiyo wasahau,wanatakiwa kutovimba kichwa na kujisahau kwani kujiamini kuwa wao ndio wao katika sanaa