Akon anawamiliki T pain, Lady Gaga na wengine kibao kupitia ‘label’ yake ya Konvict Music, kama ulikuwa hufahamu ni kwamba alitaka pia kumuingiza kundini rapper Drake, ila kuna sababu kwanini hakumalizia deal hiyo.
Akizungumza na kupitia kipindi cha Montrereality, Akon amedai Drake alipelekwa kwake na producer wake Cardinally Official lakini hakuwa na kiwango kama alichonacho hivi sasa.
“Niwe tu mkweli kipindi kile hakuwa anafanya poa kama hivi sasa,nafikiri kazidisha mara dufu kujiamini” alisema.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.