Mwanamuziki Lady Gaga,amewataka mashabiki wake kutulia wakati anaingia studio kwa ajili ya kutengeneza albamu yake mpya.
Mrembo huyo ametoa yaarifa hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram juzi kwamba ameanza kutengeneza Albamu hiyo
Habari zaidi zimeeleza kwamba mrembo huyo ameanza kazi hiyo katika studio ya Red One kwa ajili ya kutayarisha nyimbo kadhaa zikiwemo Poker face,na Just Dance ambazo zitaanza kusikika mwezi ujao