Bahati ni kupata usio tarajia na kutokuwa na bahati,ndivyo ilivyomku msanii mrisho mpoto ambaye alipenda angekuwa na miongoni mwa wasanii walioshinda tunzo za Afrimma.
Tuzo za Afrimma zilifanyika mjini Texas Marekani,ambapo msanii wa kizazi kipya Diamond alikuwa miongoni mwa washindi .Lengo kuu la shindano hilo hilo liloshirikisha wasanii mbali mbali lilikuwa ni kukienzi kiswahili.