Msanii anayeshiriki katika msimu wa tatu wa Coke studio unaendelea mpaka hv sasa .Vanessa Mdee amepongezwa kwa kupata tuzo ya msanii bora wa kike wa Tuzo za Africa Mashariki Afrimma
zilizofanyika Marekani hv karibuni
Pongezi hizo zimetolewa na kampuni ya Coca - cola ambayo inaendesha onyesho la kusisimua la muziki la coke studio ambalo linaendelea nchini kupitia runinga mbalimbali Africa Mashariki.