Kundi la muziki kutoka nchini Nigeria linaloundwa na mapacha wawili Peter na Paul wamekabidhiwa magari aina ya G-Wagon, na Range Rover kutoka kampuni ya mawasiliano ya nchini humo.
Kundi hilo la P-Square limepokea zawadi hizo kutoka kwa kampuni hiyo baada ya kuwa balozi wa kampuni hiyo ya mawasiliano inayotambulika kwa jina la Glo.
Wawili hao wametupia picha za magari hayo, ambapo Peter alikuwa ameshika funguo ya G-Wagoni huku Paul akiweka pozi kwenye Range Rover.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.