UJIO MPYA WA DJ KHALEED
Baada ya kufanya ‘poa’ na mikwaju Mingi, hatimae rapper na DJ mwenye mafanikio duniani DJ Khaleed ametangaza ujio wa album yake aliyoiita ‘I changed a lot’.
Mkali huyo ametusanua leo asubuhi kuwa album hiyo ataidondosha ‘Kitaani’ October 23.
Ngoma yake ‘You mine’ tunauhakika kwa asilimia 100 itakuwepo ndani ya this album, na wameshirikishwa wakali kadhaa Trey Songz, Future, Jeremih “Gold Slugs” , Chris Brown, August Alsina na Fetty Wap.