Ikiwajumuisha wanamuziki mahiri Ally Kiba,Vanessa Mdee,Ben Pol na Fid Q
ambao wanashirikiana na wanamuziki kama Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na
2Face.Baada ya uzinduzi huo zilifanyika party za kufa mtu katika viwanja vya maraha katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Mbeya na Arusha zilizowajumuisha vijana kucheza muziki,kuimba na kujishindia zawadi mbalimbali za Coca Cola