Kulikuwa kuna vituko vingi vya kibiashara, vilivyojitokeza katika kuachia Mixtape mpya ya Young Thug Slime Season.
Hatimae mkali huyo ameamua rasmi sasa kutangaza tarehe kamili ya kudondosha mzigo huo.
Ameitangaza October 31 ndio siku rasmi atayoiachia, na ni siku hiyo hiyo ndiyo aliyopanga kuachia project yake nyingine.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.