MSANII wa muziki wa Bongo Flava Richard Mavoko, amesema kama asingekuwa mwanamuziki basi angekuwa mchezaji mpira mkali sana.
Akizungumza kupitia kipindi cha ‘Hatua Tatu’,Timesfm, wakati akitambulisha ‘ngoma’ yake mpya ‘Ninaimani’ Rich anasema aliwahi kupelekwa mpaka shule ya ‘Vipaji’ Makongo kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kusakata ‘kabumbu’.
“Unajua mi nilifaulu second selection, kwa hiyo wakati nipo nyumbani Mkuu wa shule kipindi hicho mzee Kipingu akanipeleka pale Makongo kwa kuwa nilikuwa najua sana kucheza mpira.
So matokeo yalivyotoka yapili yale, ikabidi nichukuliwe pale nipelekwe shule niliyofaulia Mnazi mmoja” alisema Mavoko.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.